
Mkutano Mkuu wa Mwaka – 2025
Mkutano Mkuu wa Mwaka – 2025
in
Mkutano wa mwaka wa TAWLAE 2025 UTAFANYIKA Zanzibar kuanzia tarehe 25/11 – 27/11/2025. Kauli Mbiu “Kuimarisha Mifumo ya Chakula, Usalama wa Chakula na Lishe kwa Ustawi wa Jamii.